• HABARI MPYA

  Jumapili, Mei 28, 2017

  TOTTI ALIVYOAGWA LEO MILAN BAADA YA KUICHEZEA KWA MIAKA 25

  Wachezaji wa Roma wakiwa wamemrusha juu mkongwe na gwiji, Francesco Totti leo mchana baada ya mechi ya Seria A dhidi ya Genoa, maalum kumuaga mchezaji huyo kufuatia kuitumikia klabu hiyo tangu mwaka 1992. Totti anastaafu baada ya kuichezea Milan mechi 785 na kuifungia mabai 307, huku akishinda nayo taji moja la Serie A msimu wa 2000-01, mawili ya Kombe la Italia misimu ya 2006-07 na 2007-08 na mawili ya Super Cup ya Italia mwaka 2001 na 2007. Gwiji huyo pia ameichezea timu ya taifa ya Italia mechi 58 na kuifungia mabao tisa kuanzia mwaka 1998 hadi 2006 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TOTTI ALIVYOAGWA LEO MILAN BAADA YA KUICHEZEA KWA MIAKA 25 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top