Paul Pogba wa Manchester United akimfunga tela Mfaransa mwenzake, N'Golo Kante wa Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo leo Uwanja wa Old Trafford. Man United imeshinda 2-0 mabao ya Marcus Rashford na Ander Herrera PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment