• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  MWANAUME WA KIUME ALIYE TAYARI KWA SHUGHULI YA KIUMENI

  Mwonekano wa bondia Anthony Joshua mwenye umri wa miaka 27 kuelekea pambano lake la kihistoria dhidi ya Wladimir Klitschko Jumamosi Uwanja wa Wembley, London PICHA ZAIDI GONGA HAPA  

  WLADIMIR KLITSCHKO 

  Miaka: 41 
  Mapambano: 68
  Ushindi: 64
  Sare:  0
  Kupigwa: 4
  Asilimia ya KO: 82
  Ukubwa/Urefu: 6ft 6ins/81ins

  ANTHONY JOSHUA 

  Miaka: 27
  Mapambano: 18
  Ushindi: 18
  Sare:  0
  Kupigwa: 0
  Asilimia ya KO: 100 
  Ukubwa/Urefu: 6ft 6ins/82ins
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANAUME WA KIUME ALIYE TAYARI KWA SHUGHULI YA KIUMENI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top