Luis Suarez akifurahia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 87 katika ushindi wa 3-0 usiku wa jana Uwanja wa RCDE mjini Cornella de Llobregat kwenye mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Espanyol. Bao lingine la Barcelona katika mchezo huo wa mahasimu wa Katalunya lilifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment