• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 26, 2017

  MESSI AENDELEZA BALAA LAKE BARCA IKIUA 7-1 LA LIGA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akifurahia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika za 12 na 61 katika ushindi wa 7-1 dhidi ya Osasuna usiku wa leo kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Andre Gomes dakika ya 30 na 57, Paco Alcecer dakika ya 64 na 86 na Javier Mascherano kwa penalti dakika ya 67 na la Osasuna limefungwa na Roberto Torres dakika ya 48  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AENDELEZA BALAA LAKE BARCA IKIUA 7-1 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top