Picha ya kubumba iliyopostiwa na @Garcia_Itaipu ikimuonyesha mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi akicheza shindano la dansi la mtaani. Picha hiyo imetokana na tukio la kuangukia kichwa na Muargentina huyo Jumatano wakati wa mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Juventus timu hizo zikitoka sare ya 0-0 Uwanja wa Camp Nou na Barca kuaga kwa kipigo cha 3-0 walichopewa mjini Torino, Italia wiki iliyopita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
‘One of my outstanding ministers’ – Tinubu salutes Umahi on birthday
-
President Bola Tinubu has congratulated the Minister of Works, Engineer
David Umahi, as he marks his birthday on July 25, describing him as one of
the mo...
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment