Cristiano Ronaldo akiwa hewani kupigwa kichwa kuipatia bao la kuongoza Real Madrid dakika ya 27 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Valencia usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid kwenye mchezo wa La Liga. Ronaldo pia alikosa penalti dakika ya 56, ambayo iliokolewa na kipa Diego Alves aliyefanya hivyo kwa mara ya 26 katika mikwaju 53 ya matuta aliyowahi kupigiwa. Valencia walitangulia kwa bao la Dani Parejo dakika ya 82, kabla ya Marcelo kuisawazishia Real Madrid dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment