• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 23, 2017

  YANGA NA TANZANIA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Beki wa Tanzania Prisons, Leonsi Mutalemwa (kushoto) akimvuta jezi mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) jana jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
  Kipa wa Prisons, Andrew Ntalla akidaka shuti la papo kwa papo la beki wa Yanga, Hassan Kessy 
  Beki na Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Cannavaro' (katikati) akiruka juu kupiga mpira dhidi ya mabeki wa Prisons  
  Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe (kulia) akipiga mpira 
  Kikosi cha Yanga katika mchezo wa jana
  Kikosi cha Prisons katika mchezo wa jana
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: YANGA NA TANZANIA PRISONS KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top