Mfungaji wa bao la kwanza la Manchester United, Marcus Rashford dakika ya saba tu katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Chelsea kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford akishangilia baada ya kumpa raha kocha wake, Jose Mourinho. Bao la pili la United limefungwa na Ander Herrera dakika ya 49. Pamoja na kufungwa Chelsea inaendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi zake 75 za mechi 32 wakati United pia inaendelea kushika nafasi ya tano kwa pointi zake 60 za mechi 31 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Japan fight back twice to earn 2-2 draw with Netherlands
-
Japan produced a spirited comeback to hold Netherlands to a thrilling 2-2
draw in their opening Group F match at the 2026 FIFA World Cup in Dallas.
The p...
12 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment