• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 30, 2017

  ANTHONY JOSHUA AMMALIZA KLITSCHKO RAUNDI YA 11

  Refa David Fields kutoka Marekani akimuondoa bondia Anthony Joshua (kushoto) huku mpinzani wake, Wladimir Klitschko akijikokota kuinuka baada ya kuanguka usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London katika pambano la uzito wa juu. Joshua alishinda kwa Technical Knockout (TKO) raundi ya 11 na kutwaa mataji ya IBF, WBA na IBO na ndiye anakuwa bingwa mpya asiyepingika wa uzito wa juu duniani PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ANTHONY JOSHUA AMMALIZA KLITSCHKO RAUNDI YA 11 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top