Henrikh Mkhitaryan akimsaidia fedha ombaomba na mtu asiye na makazi Jiji la Manchester jana baada ya mchezaji huyo wa kimataifa wa Armeniaa kupata chakula katika mgahawa wa Kitaliano, San Carlo Jumatatu ya Pasaka. Mkhitaryan alikuwa benchi muda wote Jumapili Mashetani Wekundu wakiwafunga 2-0 Chelsea katika mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment