• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  ARSENAL 'WAOKOTA' POINTI TATU KWA MABINGWA LEICESTER CITY

  Nacho Monreal wa Arsenal akikimbia kushangilia baada ya shuti lake kumbabatiza beki wa mabingwa watetezi, Leicester City, Robert Huth na kujifunga dakika ya 86 kuwapatia Washika Bunduki wa London bao pekee la ushindi wa 1-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL 'WAOKOTA' POINTI TATU KWA MABINGWA LEICESTER CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top