Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la ushindi dakika ya 101 wakiilaza Manchester City 2-1 katika Nusu Fainali ya Kombe la FA England iliyodumu kwa dakika 120 leo Uwanja wa Wembley, London. Sergio Aguero alianza kuifungia Man City dakika ya 62, kabla ya Nacho Monreal kuisawazishia Arsenal dakika ya 71 na sasa Washika Bunduki wa London watakutana na Chelsea katika fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment