Bajaji ikiwa imeandikwa TFF ilitoa, TFF imetwaa, Jina lao Lihimidiwe kuwatania wapenzi wa klabu ya Simba kufuatia kupewa pointi tatu za mezani na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kupitia Kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa Ligi Tanzania, maarufu kama Kamati ya Saa 72 na baadaye kupokonywa na Kamati ya Katiba Sheria na Hadhi za Wachezaji ya shirikisho hilo
0 comments:
Post a Comment