• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 23, 2017

  MESSI AIMALIZA REAL MADRID DAKIKA YA MWISHO BERNABEU, BARCA YASHINDA 3-2

  Lionel Messi akiwa amebebwa na Jordi Alba baada ya kuifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 90 na ushei wakiwalaza 3-2 wenyeji, Real Madrid usiku huu Uwanja wa Santiago Bernabeu, Madrid katika mchezo wa La Liga. Messi amefunga mabao mawili leo, lingine dakika ya 33 huku bao lingine la Barca likifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 73 na ya Real Madrid yamefungwa na Carlos Henrique Casemiro dakika ya 28 na James Rodriguez dakika ya 85. Real Madrid ilimaliza pungufu mechi hiyo baada ya beki wake, Sergio Ramos kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 77 kwa kumchezea rafu Messi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MESSI AIMALIZA REAL MADRID DAKIKA YA MWISHO BERNABEU, BARCA YASHINDA 3-2 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top