Sergio Aguero wa Manchester City akienda chini dakika ya sita huku ameshika kichwa baada ya kudai amepigwa kichwa na Marouane Fellaini wa Manchester United (kushoto) ambaye alitolewa kwa kadi nyekundu baadaye dakika ya 84 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment