• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 30, 2017

  SIMBA NA AZAM KATIKA PICHA JANA TAIFA

  Winga wa Simba, Shizza Kichuya (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Azam FC, Ramadhani Singano 'Messi' na Gardiel Michael katika Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), michuano inayojulikana kama Azam Sports Federtion Cup jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0
  Kiungo wa Simba, Muzamil Yassin akimtoka kiungo wa Azam, Himid Mao
  Mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo akimtoka beki wa Azam, Gardiel Michael
  Kiungo wa Simba, Mohammed Ibrahim akimuacha kwenye dimbwi la maji beki wa Azam, Shomary Kapombe
  Wachezaji wa Simba na Azam wakiingia uwanjani jana
  Benchi la Ufundi la Simba kutoka kushoto Kocha Mkuu, Mcameroon Joseph Omog, Kocha Msaidizi, Mganda Jackson Mayanja, Kocha wa makipa Mkenya, Idd Salim na Meneja, Mussa Hassan Mgosi
  Benchi la Ufundi la Azam kutoka kulia Kocha Mkuu Mromania, Aristica Cioaba, Msaidizi wake, Iddi Cheche, Meneja Philipo Alando na Kocha wa makipa, Iddi Abubakar 
  Kamisaa wa mchezo wa jana Nassor Hamdoun wa nne kushoto akiwa na marefa na Manahdha wa timu zote mbili jana  
  Kikosi cha Azam kabla ya mchezo wa jana
  Kikosi cha Simba kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBA NA AZAM KATIKA PICHA JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top