James Rodriguez akifurahia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 14 na 66 katika ushindi wa Real Madrid wa 6-2 dhidi ya wenyeji Deportivo La Coruna usiku wa jana kwenye mchezo wa La Liga Uwanja wa Manispaa ya Riazor. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Alvaro Morata dakika ya kwanza, Lucas Vazquez dakika ya 44, Isco dakika ya 77 na Casemiro dakika ya 87 wakati ya wenyeji yalifungwa na Florin Andone dakika ya 35 na Joselu dakika ya 84. Kocha Zinadine Zidane hakutumia wachezaji tisa aliowaanzisha Jumapili wakifungwa 3-2 na Barcelona, akiwemo Cristiano Ronaldo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Darwin Nunez appears to aim DIG at Liverpool in now-deleted tweet amid
speculation over his future
-
The striker has made just eight starts in the Premier League in 2024-25 and
has logged 1000 minutes across 25 league games - an average of 40 minutes
per a...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment