• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 20, 2017

  MALINZI AKABIDHIWA JEZI YA THE CRANES YA AFCON 2017

  Rais wa Shirikisho la Soka Uganda (FUFA), Mhandisi Moses Magogo (kushoto) akimkabidhi Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi jezi ya timu ya taifa ya Uganda, The Cranes waliyoitumia katika Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) Januari mwaka huu. Zoezi hilo lilifanyika mjini Kampala, Uganda jana baada ya kikao cha Marais wa vyama na Mashirikisho ya Soka Afrika Mashariki na Kati
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MALINZI AKABIDHIWA JEZI YA THE CRANES YA AFCON 2017 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top