• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN CITY

  Wachezaji wa Chelsea wakifurahia na ubingwa wa Kombe la FA la vijana baada ya kuifunga 5-1 Manchester City jana Uwanja wa Stamford Bridge na kufanya ushindi wa jumla wa 6-2 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Trevoh Chalobah dakika ya nane, Ike Ugbo dakika ya 24, Callum Hudson-Odoi dakika ya 61, Dujon Sterling dakika ya 67 na Cole DaSilva dakika ya wakati la Man City lilifungwa na  
  Lukas Nmecha dakika ya 53 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA WAINUA NDOO YA FA YA VIJANA, WAITWANGA MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top