• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 23, 2017

  BENTEKE AWADUNGA ZOTE MBILI LIVERPOOL, PALACE YAUA 2-1 ANFIELD

  Mshambuliaji Mbeligiji, Christian Benteke (kushoto) akiwasanifu mashabiki wa timu yake ya zamani, Liverpool baada ya kuifungia Crystal Palace mabao yote mawili dakika za 42 na 74 katika ushindi wa 2-1 ugenini Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo.  Bao pekee la Liverpool lilifungwa na Mbrazil, Philippe Coutinho dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENTEKE AWADUNGA ZOTE MBILI LIVERPOOL, PALACE YAUA 2-1 ANFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top