• HABARI MPYA

  Jumanne, Aprili 25, 2017

  BENITEZ AIREJESHA LIGI KUU ENGLAND NEWCASTLE UNITED

  Kocha wa Newcastle, Rafa Benitez (katikati) akipongezana na wachezaji wake baada ya kufanikiwa kurejea Ligi Kuu ya England jana kufuatia ushindi wa 4-1 dhidi ya Preston North End katika mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Uwanja wa St. James' Park. Newcastle imefikisha pointi 88 baada ya kucheza mechi 44 na inaendelea kushika nafasi ya pili nyuma ya Brighton & Hove Albion wenye pointi 92 za mechi 44 ambao pia wamepanda Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BENITEZ AIREJESHA LIGI KUU ENGLAND NEWCASTLE UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top