• HABARI MPYA

  Jumamosi, Aprili 29, 2017

  VIKOSI VINAVYOANZA SIMBA NA AZAM HATARI TUPU

  Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
  REFA wa Mwanza, Mathew Akrama atapuliza filimbi Saa 10:00 kuanzisha Nusu Fainali ya kwanza ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), linalojulikana kama Azam Sports Federetion Cup (ASFC) baina ya Simba na Azam FC Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Na vifuatavyo ni sikosi vya timu zote leo;  
  Kikosi cha Simba kilikuwa; Daniel Agyei, Janvier Bokungu, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’, Juuko Murshid, James Kotei, Jonas Mkude, Shizza Kichuya, Muzamil Yassin, Laudit Mavugo, Ibrahim Hajib na Mohammed Ibrahim.
  Benchi; Peter Manyika, Vincent Costa, Said Ndemla, Juma Luizio, Frederick Blagnon, Mwinyi Kazimoto na Pastory Athanas.
  Azam FC; Aishi Manula, Shomary Kapombe, Gardiel Michael, Aggrey Morris, Daniel Amoah, Himid Mao, Stephan Kingue, Shaaban Iddi, Salum Abubakar ‘Sure Boy’ na Ramadhani Singano ‘Messi’. 
  Benchi; Mwadini Ali, Erasto Nyoni, Yakubu Mohammed, Mudathir Yahya, Joseph Mahundi, Bruce Kangwa na Frank Domayo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: VIKOSI VINAVYOANZA SIMBA NA AZAM HATARI TUPU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top