Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi na Real Madrid Uwanja wa Valdebebas leo kujiandaa na mchezo wa kesho wa marudiano wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Bayern Munich Uwanja wa Bernabeu. Real inahitaji hata sare kusonga mbele baada ya ushindi wa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita mjini Munich PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment