Katibu wa Yanga, Charles Boniface Mkwasa (kushoto) akiwa na kiungo wa timu hiyo, Haruna Niyonzima Uwanja wa Ndege wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Algiers unaojulikana pia kama Uwanja wa Ndege wa Houari Boumediene kabla ya safari yao ya kurejea Dar es Salaam leo kupitia Dubai kwa ndege ya Emirates
Mabeki Mwinyi Mngwali (kulia) na Andrew Vincent 'Dante' (kushoto)
Beki Kevin Yondan (kushoto) na kiungo Deus Kaseke (kulia)
Beki Juma Abdul na kipa Benno Kakolanya (kulia)



0 comments:
Post a Comment