• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 30, 2017

  CHELSEA YAZIDI KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBUTUA EVERTON 3-0

  Wachezaji wa Chelsea wakishangilia ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi ya Everton Uwanja wa Goodison Park, Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Mabao ya Chelsea yamefungwa na  Pedro dakika ya 66, Gary Cahill dakika ya 79 na Willian dakika ya 86 na sasa The Blues wanafikisha pointi 81 baada ya kucheza mechi 34, wakiendelea kuongoza ligi hiyo, wakifuatiwa na Tottenham Hotspur yenye pointi 73 za mechi 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAZIDI KUUSOGELEA UBINGWA, YAIBUTUA EVERTON 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top