• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 30, 2017

  BAYERN WABEBA NDOO YA BUNDESLIGA KWA MARA YA TANO MFULULIZO

  Robert Lewandowski (kushoto) akishangilia na wenzake baada ya kuiwezesha Bayern Munich kutwaa taji la tano mfululizo la Ligi Kuu Ujerumani, iitwayo Bundesliga kufuatia ushindi wa 6-0 dhidi ya Wolfsburg usiku wa jana Uwanja wa Volkswagen Arena. Lewandowski alifunga mabao mawili dakika za 36 na 45, David Alaba dakika ya 19, Arjen Robben dakika ya 66, Thomas Muller dakika ya 80 na Joshua Kimmich dakika ya 85, wakati kiungo wa zamani wa Bayern, Luis Gustavo alitolewa kwa kadi nyekundu upande wa Wolfsburg PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BAYERN WABEBA NDOO YA BUNDESLIGA KWA MARA YA TANO MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top