• HABARI MPYA

  Jumatatu, Aprili 24, 2017

  N'GOLO KANTE AKIWA NA MZIGO WA PFA BAADA YA KUWAGARAZA HAZARD, IBRAHIMOVIC NA KANE

  Nyota wa Chelsea, N'Golo Kante akiwa ameshika tuzo yake ya Mchezaji Bora wa Chama cha Wachezaji wa Kulipwa England kwa msimu wa 2016-2017, baada ya kukabidhiwa jana jioni katika ukumbi wa hoteli ya Grosvenor mjini London kufuatia kuwashinda mchezaji mwenzake, Eden Hazard, Harry Kane wa Tottenham, Zlatan Ibrahimovic wa Manchester United, Romelu Lukaku wa Everton na Alexis Sanchez wa Arsenal PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: N'GOLO KANTE AKIWA NA MZIGO WA PFA BAADA YA KUWAGARAZA HAZARD, IBRAHIMOVIC NA KANE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top