• HABARI MPYA

  Jumatano, Aprili 26, 2017

  COSTA AFUNGA MAWILI, CHELSEA YASHINDA 4-2 ENGLAND

  Diego Costa akishangilia baada ya kufunga bao lake la pili jana dakika ya 89, baada ya kufunga lingine dakika ya 53 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Southampton kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Eden Hazard dakika ya tano na Gary Cahill dakika ya 45 na ushei, wakati ya Southampton yalifungwa na Oriol Romeu dakika ya 24 na Ryan Bertrand dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COSTA AFUNGA MAWILI, CHELSEA YASHINDA 4-2 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top