• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 30, 2017

  ARSENAL WAMVAA REFA WAKIGONGWA 2-0 NA SPURS ENGLAND

  Wachezaji wa Arsenal wakimlalamikia refa kwamba Harry Kane alijirusha baada ya kugongana na wachezaji wa Arsenal ili apewe penalti, ambayo alikwenda kuipiga mwenyewe na kuifungia bao la pili Tottenham Hotspur dakika ya 58 ikishinda 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa White Hart Lane, London. Bao la kwanza lilifungwa na Dele Alli dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ARSENAL WAMVAA REFA WAKIGONGWA 2-0 NA SPURS ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top