Alexis Sanchez akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la kwanza dakika ya 42 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Middlesbrough kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa Jumatatu Uwanja wa Riverside. Bao la pili la Arsenal lilifungwa na Mesut Ozil dakika ya 71, wakati la Boro lilifungwa na Alvaro Negredo dakika ya 50 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment