• HABARI MPYA

  Jumapili, Aprili 23, 2017

  ROONEY AREJEA NA BAO MAN UNITED YAITUMBUA 2-0 BURNLEY

  Nahodha Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 39 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Burnley Uwanja wa Turf Moor katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao la kwanza lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: ROONEY AREJEA NA BAO MAN UNITED YAITUMBUA 2-0 BURNLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top