Lionel Messi akionyesha masikitiko yake baada ya timu yake, Barcelona kutolewa katika hatua ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana kufuatia kulazimishwa sare ya 0-0 na Juventus ya Italia katika mchezo wa marudiano. Juventus ilishinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza wiki iliyopita na sasa inatinga Nusu Fainali, ikiungana na Atletico Madrid, Real Madrid za Hispania na Monaco ya Ufaransa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
19 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment