• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  SIMBU AMKABIDHI WAZIRI MKUU TUZO YAKE YA MUMBAI MARATHONI

  Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokea Tuzo kutoka kwa Mshindi wa Medali ya Dhahabu ya mbio za Mumbai Marathoni mwaka huu, Alphonce Felix Simbu viwanja vya Bunge leo mjini Dodoma. Wengine pichani ni Mkuu wa Utawala na Mafunzo JKT Kanali K. J. Mziray, Luteni Kanali J.P Meidini, Mkuu wa Kambi JKT Makuyuni Meja Mvula na Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano Multichoice Tanzania, John Mshana. 

  Hapa Simbu akimkabidhi tuzo hiyo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Harrison Mwakyembe 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: SIMBU AMKABIDHI WAZIRI MKUU TUZO YAKE YA MUMBAI MARATHONI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top