Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford akienda chini baada ya kuangushwa na kipa wa Swansea City, Lukasz Fabianski na refa Neil Swarbrick kuamuru penalti ambayo ilifungwa na Wayne Rooney kuipatia timu yake bao la kuongoza dakika ya 45 na ushei katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford, kabla ya wageni kusawazisha kupitia kwa Gylfi Sigurdsson dakika ya 79 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
New Orleans Saints star Ryan Ramczyk announces retirement from NFL
-
The 30-year-old has been battling knee problems and hasn't played since
2023.
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment