• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  BORUSSIA DORTMUND YAITUPA NJE BAYERN MUNICH KOMBE LA UJERUMANI

  Marco Reus na Pierre-Emerick Aubameyang wakipongezana baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-2 ugenini dhidi ya Bayern Munich katika Nusu Fainali ya Kombe la Ujerumani usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena, Munich. Reus alifunga la kwanza dakika ya 19, aubameyang la pili dakika ya 69 na la tatu lilifungwa na Ousmane Dembele dakika ya 74, wakati ya Bayern yalifungwa na Javi Martinez dakika ya 28 na Mats Hummels dakika ya 41 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BORUSSIA DORTMUND YAITUPA NJE BAYERN MUNICH KOMBE LA UJERUMANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top