• HABARI MPYA

  Alhamisi, Aprili 27, 2017

  NA HIVI NDIVYO AZAM WANAVYOJIFUA CHAMAZI

  Nahodha wa Azam FC, mshambuliaji John Raphael Bocco aliyekuwa majeruhi kwa muda mrefu akifanya mazoezi na timu yake Jumatano Uwanja mdogo wa Azam Complex, Chamazi, kujiandaa na mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Kombe la Azam Sports Federation (ASFC) dhidi ya Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
  Mshambuliaji chipukizi Shaaban Iddi Chilunda akifanyaa mazoezi naye kujiandaa na mchezio huo
  Beki tegemeo, Aggrey Morris aliyekuwa majeruhi pia, naye amefanya mazoezi  
  Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Himid Mao naye amefanya mazoezi 
  Mabeki Mghana Daniel Amoah (kulia) na Gardiel Michael Mbaga (kushoto) nao wapo fiti pia 
  Kocha wa Azam FC, Mromania 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: NA HIVI NDIVYO AZAM WANAVYOJIFUA CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top