Kocha wa Sunderland, David Moyes akiwa haamini macho yake baada ya timu yake kufungwa nyumbani 1-0 na Bournemouth bao pekee la Joshua King dakika ya 88 Uwanja wa Light katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo, hivyo kuteremka daraja rasmi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 day ago



.png)
0 comments:
Post a Comment