• HABARI MPYA

  Jumatano, Februari 01, 2017

  COSTA AKOSA PENALTI LIVERPOOL YAPATA SARE KWA CHELSEA

  Vita ya Wabrazil; Beki wa Chelsea, David Luiz (kulia) akipiga mpira kichwa dhidi ya Mbrazil mwenzake, mshambuliji wa Liverpool, Roberto Firmino (kushito) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Luiz alianza kuifungia The Bluse dakika ya 24, kabla ya Diego Costa kukosa penalti dakika ya 76 iliyookolewa na kipa Simon Mignolet baada ya Georginio Wijnaldum kuisawazishia Liverpool dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: COSTA AKOSA PENALTI LIVERPOOL YAPATA SARE KWA CHELSEA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top