Wachezaji wa Chelsea, Cesar Azpilicueta, Pedro and Victor Moses wakishangilia na Marcos Alonso baada ya kuifungia The Blues bao la kwanza dakika ya 13 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal leo Uwanja wa Stamford Bridge, London kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Mabao mengine ya Chelsea yamefungwa na Edin Hazard dakika ya 53 na Cesc Fabregas dakika ya 86 wakati la Arsenal limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 90 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment