Mshambuliaji Diego Costa wa Chelsea (19) akishangilia na wachezaji wenzake, Victor Moses na Branislav Ivanovic baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 81 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Swansea City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Liberty mjini Swansea. Costa pia alifunga bao la kwanza la Chelsea dakika ya 18, wakati mabao ya Swansea yalifungwa na Gylfi Sigurdsson dakika ya 59 na Leroy Fer dakika ya 62 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Swans players allegedly claimed they were tradies to exotic dancers as
shattered teammates unite in powerful training huddle
-
Sydney Swans players reportedly told women they were carpenters before the
alleged incident that has plunged the AFL club into crisis
57 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment