Nyota wa Brazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia timu yake dakika ya 72 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Ecuador kwenye mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa Amerika Kusini usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Olimpico Atahualpa mjini Quito. Mabao mengine ya Brazil yalifungwa na Gabriel Jesus dakika za 87 na 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment