Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) Luis Suarez (katikati) na Neymar (kushoto) wakifurahia ushindi wao wa mabao 7-0 dhidi ya Valencia ya kocha Muingereza, Gary Neville katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao Barca yalifungwa na Suarez manne na Messi matatu, huku Neymar akikosa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
These are the 8 teams on Kevin Gausman's no-trade list from Blue Jays
-
Gausman still isn't a guarantee to be dealt.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment