Mkurugenzi wa Super D Boxing Promotions, Rajabu Mhamila 'Super D' (katikati) akiwa na mabondia Mada Maugo (kushoto) na Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe' wakati wa utambulisho wa pambano lao la lisilo la ubingwa uzito wa Middle litakalofanyika sikukuu ya Pasaka Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment