![]() |
Kiungo wa Yanga SC, Andrey Coutinho akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba SC, William Lucian 'Gallas' |
![]() |
Mshambuliaji wa Yanga SC, Genilson Santana 'Jaja' akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Simba SC |
![]() |
Kipa kinda, Peter Manyika (kulia) akipongezwa na kipa wa kwanza wa timu hiyo, Ivo Mapunda baada ya kumaliza dakika 90 za mpamano dhidi ya Yanga SC bila kugungwa |
![]() |
Jaja akijiandaa kupiga mpira mbele ya Gallas |
![]() |
Beki wa Simba SC, Mohamed Hussein Tshabalala akimzuia mshambuliaji wa Yanga SC, Mrisho Ngassa |
![]() |
Kipa Peter Manyika kulia akimsindikiza kiungo wake, Jonas Mkude wakati anatoka nje baada ya kuumia |
0 comments:
Post a Comment