• HABARI MPYA

    Wednesday, October 15, 2014

    SERBIA NA ALBANIA JANA ILIKUWA HIVI BELGRADE...BALAA!

    MECHI ya kufuzu kwa Fainali za Euro 2016 baina ya Serbia na Albania ilivunjika baada ya dakika 30 usiku wa jana, kufuatia beki wa Serbia, Stefan Mitrovic kuitupa bendera ya Albania na kusababisha Uwanja wa Partizan, mjini Belgrade kugeuka sehemu ya mapambano.
    UEFA iliwafungia mashabiki wa Albania kuhudhuria mechi hiyo ya Kundi I mjini Belgrade, lakini iliruhusu nchi hizo mbili kumenyana, licha ya uhasama wa muda mrefu wa kisiasa baina yao.
    Na wakati bendera ya Albania iliyoambatana na ramani ya Kosovo na ujumbe wa 'autochthonous', wenye kumaanisha asili- ikipeperushwa juu ya eneo la kuchezea kwa kutumia rimoti, kitendo cha Mitrovic kuirukia na kuitupa kilisababisha balaa, wachezaji kwa wachezaji na mashabiki kuanza kupigana.
    Mshambuliaji wa Albania, Bekim Balaj akipigwa na kiri kilichorushwa na shabiki wa Serbia
    A fan throws a punch at Albania's Mergim Mavraj as tensions boiled over 
    Shabiki akimpiga ngumi mchezaji wa Albania, Mergim Mavraj 

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2792953/serbia-vs-albania-suspended-martin-atkinson-banned-fans-use-drone-fly-flag-pitch-leading-violet-scenes-belgrade.html#ixzz3GCevyIUx 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SERBIA NA ALBANIA JANA ILIKUWA HIVI BELGRADE...BALAA! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top