| Wachezaji majeruhi wa Yanga SC kutoka kushoto Kevin Yondan, Genilson Santana 'Jaja' na Nadir Haroub 'Cannavaro' wakifanya mazoezi mepesi na kocha wao, Marcio Maximo jioni ya leo Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam. Yanga SC itacheza na mahasimu wao wa jadi, Simba SC Jumamosi Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. |
0 comments:
Post a Comment