CANNAVARO ALIPOMTIA 'LOBA' COUTINHO MAZOEZINI YANGA SC LEO
Beki wa Yanga SC, Nadir Haroub 'Cannavaro' kushioo akimdhibiti kiungo wa timu hiyo, Mbrazil Andrey Coutinho wakati wa mazoezi ya jioni Uwanja wa Boko Veterani, Dar es Salaam. Yanga SC inajiadaa na mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya mahasimu wao wakubwa, Simba SC Jumamosi.
Ilianzia hapa, Coutinho alipiga hesabu za 'kumchukua' Cannavaro lakini alipojaribu kufanya hivyo akatiwa 'loba'. Cannavaro leo amefanya mazoezi kikamilifu baada ya kuwa majeruhi kwa wiki yote hii akifanya mazoezi mepesi.
Kerr on why Commonwealth mile glory matters to him
-
Josh Kerr didn't dream about being the fastest person ever to run a mile
when he was a kid. He dreamed of pulling on a Scotland vest in the
Commonwealth Ga...
0 comments:
Post a Comment