• HABARI MPYA

        Wednesday, August 20, 2014

        QPR YASAINI BEKI MHOLANZI MIAKA MITATU

        KIUNGO Mholanzi, Leroy Fer amekamilisha usajili wake kuhamia QPR kutoka klabu ya Championship, Norwich.
        Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 24, ambaye ametua kwa Pauni Milioni 7, amesaini Mkataba wa miaka mitatu na kikosi cha Harry Redknapp.
        Fer alicheza kwa msimu mmoja Uwanja wa Carrow Road baada ya kujiunga na The Canaries kutoka timu ya Eredivisie, FC Twente. 

        Mtu mpya: Leroy Fer akionyesha jezi namba 10 ya QPR baada ya kujoiunga nayo akitokea Norwich
        Fresh start: Fer seals his move to London while sat alongside his wife Xenia Schipaanboord
        Fer akisaini Mkataba mjini London akiwa na mkewe Xenia Schipaanboord
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: QPR YASAINI BEKI MHOLANZI MIAKA MITATU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry