• HABARI MPYA

    Thursday, February 06, 2014

    REAL MADRID YATANGULIZA MGUU MOJA FAINALI KOMBE LA MFALME

    TIMU ya Real Madrid imetanguliza mguu mmoja katika Fainali ya Kombe la Mfalme kufuatia ushindi wa mabao 3-0 dhid ya Atletico Madrid katika Nusu Fainali ya kwanza Uwanja wa Santiago Bernabeu.
    Mabao ya Real yalifungwa na Insua aliyejifunga dakika ya 17, Jese dakika ya 57 na Di Maria dakika ya 73. Sasa Real inaweza ikakutana katika Fainali na wapinzani wao wakubwa Hispania, Barcelona ambao nao pia jana waliifunga 2-0 Real Sociedad.
    Pati la ushindi: Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia Uwanja wa Baernabeu janaFlashy: Cristiano Ronaldo tries some step-overs during a fairly quiet match for the Ballon d'Or winner
    Cristiano Ronaldo akionyesha mavitu yaliyompa Ballon d'Or winnerDelight: Pepe celebrates after putting Real Madrid in front during the first half
    Pepe akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid jana
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL MADRID YATANGULIZA MGUU MOJA FAINALI KOMBE LA MFALME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top